VYUO VYA MAENDELEO YA MAENDELEO KUJIKITA KATIKA TAFITI KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI NCHINI

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Na WMJJWM Dodoma  Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vinavyosimamiwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum vimejipanga kuweka mikakati ya kufanya Tafiti mbalimbali katika jamii zitakazosaidia kuondokana na vitendo vya ukatili nchini. Hayo yamebainika wakati wa Kikao kazi cha Utekelezaji wa shughuli za Taaluma katika Taasisi na Vyuo vya Maendeleo